Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Mkutano wa Wadau kuhusu CRVS

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi akizungumza na wawakilishi na Viongozi wa Wizara hiyo,Taasisi, Idara mbalimbali za serikali na Wadau wa Kimataifa wa Maendeleo katika Mkutano na Wadau kuhusu usanifu Mpango wa Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na ukusanyaji wa Takwimu (CRVS) uliofanyika hii leo katika Ukumbi wa Mikutano wa LAPF Makao Makuu Dodoma.

Album Pictures