Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           SEMINA YA WAHARIRI.

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi akibadilishana mawazo na baadhi ya wahariri wakongwe aliyowahi kufanya nao kazi katika tasnia hiyo miaka ya 1970 wakati wa semina ya kuwajengea uwezo kuhusu Mkakati wa Kitaifa wa Usajili wa matukio muhimu ya binadamu na takwimu iliyofanyika hii leo Mkoani Morogoro.

Album Pictures