Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UHAKIKI WA VYETI

Description: Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson amewataka waombaji wote wa Mikopo ya Elimu ya Juu kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo katika ofisi za wilaya zilizotoa vyeti hivyo au RITA Makao Makuu wakati wa Mkutano wa pamoja na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika Ukumbi wa Habari Maelezo hii leo Jijini Dar es salaam,kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa Bodi ya Mikopo Bw Abdul-Razaq Badru mwingine ni Afisa Usajili mwandamizi wa Vizazi na Vifo Adam Mkolabigawa.

Album Pictures