Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ZIARA YA MHE,WAZIRI WA KATIBA

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi amefanya ziara hii leo katika ofisi za RITA Makao Makuu Jijini Dar es salaam na kutembelea Idara na Vitengo mbalimbali pamoja na kujionea ufanisi na maboresho ya teknolojia ya TEHAMA katika utoaji wa huduma kwa Wananchi.

Album Pictures