Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Lindi na Mtwara wapokea U5BRI

Description: Mkoa wa Lindi na Mtwara kwa pamoja inatarajiwa kutekeleza mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano bila ya malipo mwishoni mwa mwezi huu wa Septemba 2017. Wakuu wa Mikoa hiyo walitoa maagizo kwa viongozi wa Wilaya na Halmashauri zote kufanya maandalizi ya kuupokea na kuusimamia mpango huo sambamba na kuanza kazi mara moja ya kutoa elimu kwa jamii kujitokeza kwa wingi pindi zoezi hilo litakapoanza kutekelezwa katika vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto pamoja na Ofisi za Watandaji

Album Pictures