Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UZINDUZI U5BRI LINDI NA MTWARA

Description: MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAANZA KUANDIKISHA NA KUWAPATIA WATOTO VYETI VYA KUZALIWA BILA YA MALIPO. Watoto wa Mikoa ya Lindi na Mtwara watanufaika katika huduma ya usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo ambayo inatolewa kwenye Ofisi za watendaji kata na vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto.

Album Pictures