Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           WIKI YA SHERIA 2018

Description: Jaji Mkuu Frofesa Ibrahim Juma amewataka watumishi wa Mahakama na watoa haki kuwa na maadili mema na kutojihusisha na vitendo vya rushwa ili wananchi wawe na imani nao. RITA ni miongoni mwa taasisi zinazoshriki maonesho ya wiki ya sheria Katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia pamoja na mambo ya Mirathi.

Album Pictures