Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MABORESHO USAJILI WA VIFO

Description: Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) unategemea kufanya maboresho ya usajili wa vifo mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi za vifo na sababu zake zitakazosaidia serikali na wadau mbalimbali kuchukua hatua za kukabiliana na sababu hizo.

Album Pictures