Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA - BENKI YA DUNIA

Description: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na sheria Bw. Amon Mpanju akiwa katika picha ya kumbukumbu na wadau wa Kitaifa na Kimataifa ambao wamekutana hii leo Jijini Dar es salaam kujadili kuhusu Mkakati wa usajili wa matukio muhimu ya binadamu na takwimu pamoja na kuweka mfumo wa uratibu na mawasiliano baina ya wadau wa masuala ya usajili wa matukio hayo,anayefuata kulia kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya RITA Bi. Victoria Lembeli anayemfuatia (kulia) ni Mjumbe wa Bodi Bi Asha Mtwangi na kushoto kwake ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi. Emmy Hudson na anayefuata (kushoto kwake) ni Mwakilishi kutoka shirika la Maendeleo la Kanada upande wa Afya Dkt Madani Thiam.

Album Pictures