Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MKOA WA KAGERA NA KIGOMA

Description: Mikoa ya Kagera na Kigoma kwa pamoja inatarajiwa kutekeleza mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano bila ya malipo mwanzoni mwa mwezi Octoba 2018, hayo yamebainishwa wakati wa semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo viongozi wa Mikoa hiyo iliyofanyika Mkoani Kagera Tarehe 14 na Kigoma 17 Septemba 2018.

Album Pictures