Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           USAJILI SINGIDA (5-17 BRI)

Description: Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe, Dkt Rehema Nchimbi ameagiza Wanafunzi wote wa Shule za Msingi na Sekondari Mkoani humo kusajiliwa na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kabla ya kuhitimu. Maagizo hayo yametolewa leo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku moja kwa Waratibu Elimu Kata kuhusu mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari katika Wilaya ya Singida Mkoani humo.

Album Pictures