Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           USAJILI WA WANAFUNZI SONGEA

Description: Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mhe Sophia Mfaume ambaye amemuakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christina Mndeme akitoa maagizo kwa waratibu elimu kata na viongozi wote wa Mkoa huo kuwa wazalendo na kutanguliza maslahi ya Taifa katika zoezi la usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wa Mkoa wa Ruvuma,maagizo hayo yametolewa hii leo katika Manispaa ya Songea wakati wa mafunzo ya siku moja kwa viongozi hao.

Album Pictures