Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           KIKAO CHA TATHMINI IRINGA

Description: Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini Mhe.Richard Kasesela akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi katika kikao cha tathmini kuhusu zoezi la usajili wa vifo mkoa wa Iringa kilichofanyika tarehe 23/11/2018 na kuhudhuriwa na viongozi wa Serikali wa mkoa wa Iringa,wafanyakazi wa RITA pamoja na wadau.

Album Pictures