Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           TUZO TAARIFA BORA ZA KIFEDHA

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umekabidhiwa tuzo kwa kuwa Taasisi katika kundi la Wakala bora ya Serikali ulioandaa na kuwasilisha taarifa za kifedha zenye kiwango cha Kitaifa na Kimataifa kwa mwaka 2017. Tuzo hizo zimekabidhiwa na Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Ashantu Kijaji usiku wa leo Disemba 8, 2018 katika ukumbi wa APC Bunju Jijini Dar es Salaam.

Album Pictures