Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           USAJILI WATOTO DODOMA SINGIDA

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umefanikiwa kusajili Watoto milioni tatu na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo kupitia Mpango wa usajili wa Watoto walio na umri chini ya miaka mitano unaoendelea kutekelezwa katika Mikoa kumi na mitatu Tanzania Bara. Hayo yamebainishwa hii leo Mkoani Singida wakati wa uzinduzi wa mpango huo kwa Mikoa miwili ya Dodoma na singida huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe, Balozi Dkt Augustine Mahiga.

Album Pictures