Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA YATOA MSAADA KWA JAMII

Description: Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson akikabidhi hundi kwa Chama Cha watu wenye ulemavu wa Macho Mkoa wa Dar es salaam. Msaada huo ni kwa ajili ya ununuzi wa fimbo nyeupe pamoja na kuwawezesha kushiriki maadhimisho ya siku ya kimataifa ya fimbo nyeupe Duniani yatakayofanyika Mkoani Kigoma Oktoba 22 na 24 mwaka huu, anayepokea hundi ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw Paul Mathias, wengine ni Mkurugenzi wa huduma za biashara Bw, Charles Salyeem (wa kwanza kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa ulinzi na haki za kisheria Bi Lina Msanga (wa pili kulia), Bi Lucy Bupamba(watatu kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya maonesho hayo Bw, Iddi Kiwimbi ( wa pili kushoto).

Album Pictures