Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ZIARA UBALOZI WA MAREKANI

Description: Ujumbe kutoka Ubalozi wa Marekani kitengo kinachohusika na kutoa Viza (Consular Section) umetembelea ofisi za RITA hii leo Jijini Dar es salaam kwa lengo la kujifunza jinsi usajili wa vizazi vifo ndoa na talaka unavyofanyika kutokana na umuhimu na uhitaji wa nyaraka hizo wakati wa maombi ya Viza.Viza.

Album Pictures