Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA-POSTA MKATABA

Description: RITA na Shirika la Posta hii leo Jijini Dar es salaam wamesaini hati ya makubaliano ya huduma ya usafirishaji wa Mizigo (vitendea kazi) na nyaraka mbalimbali katika Ofisi za Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na ofisi za watendeji wa Kata na hivyo kuhakikisha usalama na kuwezesha wananchi kupata huduma bora ya usajili wa vizazi, vifo, ndoa na talaka sambamba na ukusanyaji wa nyaraka hizo kwa ajili ya kuhifadhiwa katika ofisi za RITA Makao Makuu.

Album Pictures