Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           USAJILI WATOTO MOROGORO- PWANI

Description: Mikoa ya Morogoro na Pwani inatarajiwa kutekeleza Mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano katika mkakati wa Kitaifa utakaoanza mwanzoni mwa mwezi desemba mwaka huu. Hayo yamebainishwa katika kikao cha siku moja kilichofanyika jana Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani na leo Manispaa ya Morogoro kwa lengo la kuwajengea uwezo na uelewa viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa kabla ya utekelezaji wa mpango huo.

Album Pictures