Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UZINDUZI U5BRI MOROGORO/ PWANI

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Balozi. Dkt Augustine Mahiga amezitaka taasisi mbalimbali za umma na binafsi kuondoa mashaka kuhusu vyeti vinavyojazwa kwa mkono kwani vyote ni halali kama ilivyo kwa vile vya ndoa huku akisisitiza kuwa yapo Mataifa makubwa kama vile Uingereza na Afrika kusini ambayo wanatumia vyeti kama hivi vinavyojazwa kwa mkono. "Taasisi zisiwe na wasiwasi kwani vyeti vilivyojaza na mkono na kua na nembo ya serikali ni cheti chetu halali kabisa na watumishi wako makini kwa kua wamezingatia mafunzo ya usajili kwa mujibu wa sheria,"alisema Balozi. Dkt. Mahiga.

Album Pictures