Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           U5BRI KILIMANJARO NA TANGA

Description: Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi Emmy Hudson amekutana na viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Tanga na kujadiliana kuhusu kuanza kwa utekelezaji wa mpango wa usajili wa watoto walio na umri chini ya miaka mitano mapema mwezi ujao pamoja na upatikanaji wa huduma za usajili na uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na kifo kwa njia ya kielektroniki iliyoanzishwa hivi karibuni.

Album Pictures