Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAONESHO YA NANENANE

Description: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezitaka Taasisi za fedha nchini kutoa fursa za mikopo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi ili kuongeza tija katika uzalishaji. Aliyasema hayo Agosti mosi katika ufunguzi wa maonesho ya nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.

Album Pictures