Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           KAMPENI YA KUSAJILI WATOTO

Description: Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Fadhil Juma amezindua kampeni ya kusajili na kutoa Vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri kati ya miaka 6-17 katika Wilaya ya Geita. Uzinduzi huo ulifanyika katika mafunzo ya siku moja ya Waratibu Elimu Kata za Wilaya ya Geita yaliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Geita. Kupitia kampeni hii wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wasio na vyeti vya kuzaliwa watasajiliwa na kupata vyeti katika Shule wanazosoma

Album Pictures