Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           KAMPENI YA ONE STOP JAWABU

Description: Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Abubakar Kunenge aliyeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Godwin Gondwe pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Bw. Lusubilo Mwakabibi wakipatiwa maelezo kutoka kwa Msajili Mwandamizi wa Vizazi na Vifo kutoka RITA Bi Mariamu Ling'ande kuhusu huduma zinazoendelea kutolewa kwa Wananchi kwenye Kampeni ya "One Stop Jawabu" iliyozinduliwa hii leo katika viwanja vya Mbagala Zakhiem Jijini Dar es salaam. Huduma zinazotolewa ni pamoja na usajili wa vizazi na vifo, msaada wa kisheria kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia na mambo ya mirathi.

Album Pictures