Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ONE STOP JAWABU TEMEKE

Description: TEMEKE YAHITIMISHA ONE STOP JAWABU. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Godwin Gondwe leo amefunga rasmi kampeni ya siku 14 ya One Stop Jawabu ambayo ilizileta pamoja taasisi mbalimbali za umma na binafsi kuwahudumia wananchi. Zaidi ya wananchi 300,000 wameweza kupata huduma mbalimbali. RITA ni moja ya Taasisi iliyoshiriki kampeni hiyo ambapo zaidi ya wananchi 30,000 wameweza kusajiliwa ili kupata Vyeti vya Kuzaliwa

Album Pictures