Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ZIARA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

Description: Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi Emmy Hudson amefanya ziara na kutembelea katika Wilaya za Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi kwa lengo la kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma za usajili wa vizazi na vifo kama unazingatia na kufuata sheria na taratibu za usajili hususani katika maeneo hayo ya mipakani ambako kuna mwingiliano mkubwa wa wageni kutoka nchi jirani pamoja na utekelezaji wa utoaji huduma hizo kwa njia ya kielekroniki iliyoanzishwa mapema mwaka huu kama sehemu ya maboresho na kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo karibu na Wananchi.

Album Pictures