Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAPOKEZI YA MAGARI YA WAKALA

Description: Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi Emmy Hudson akipokea magari mawili aina ya Land cruiser hardtop mwishoni mwa wiki Jijini Dar es salaami yenye thamani ya Tshs Milioni 240 yaliyotolewa na Serikali ya Canada kupitia Shirika la kuhudumia Watoto Duniani UNICEF ili kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa usajili wa vizazi na vifo nchini.wa kwanza kulia ni Meneja wa ugomboaji na uondoshaji wa mizigo ya Serikali GPSA Ndugu. Jimmy Abdiel, wengine ni Mkurugenzi wa Huduma na Biashara ndugu Charles Salyeem(kulia kwake) na Meneja Ununuzi Ndugu. Wilfred Masanja(wa kwanza kushoto)

Album Pictures