Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ELIMU KWA VIONGOZI WA DINI

Description: RITA YATOA ELIMU KWA VIONGOZI WA BARAZA LA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE TANZANIA WILAYA YA TEMEKE. -Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umetoa elimu kuhusu masuala ya Wosia,Mirathi,Udhamini, Ndoa na Talaka katika kongamano la Umoja wa viongozi wa makanisa ya Kipentekoste Tanzania(CPCT). Kongamano hilo limefanyika leo hii katika kanisa la EAGT wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Album Pictures