Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAFUNZO YA USAJILI MWANZA

Description: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella ameaagiza watendaji wote wanaohusika na usajili wa Vizazi na Vifo kuweka mikakati itakayowezesha wananchi katika maeneno yao kusajiliwa ili kuwaondolea usumbufu wa kutokuwa na nyaraka mara wanapohitaji huduma nyingine.Pichani Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe.Dkt. Philis Nyimbi akisoma hotuba kwa niaba yake.

Album Pictures