Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA /BODI YA MIKOPO

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) wamesaini hati ya makubaliano ili kurasimisha ushirikiano wa taasisi hizo mbili za Serikali kwa ajili ya kuwawezesha Waombaji wa Mikopo kupata huduma Bora na kwa wakati. Tukio hilo limefanyika hii leo Jijini Dar es salaam ambapo hati hizo zimesainiwa na Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu/ Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi. Emmy Hudson na Mkurugenzi Mtendaji wa HELSB Dr. Abdulrazak Badru.

Album Pictures