Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA-BODI YA BIKOPO

Description: HESLB YAFUNGUA DIRISHA KWA WAOMBAJI MIKOPO ELIMU YA JUU 2021/2022 Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) hii leo imefungua rasmi dirisha la kupokea maombi ya Mikopo na kwamba imepanga kutumia bajeti ya kiasi cha Shilingi 570 Bilioni katika mwaka wa masomo 2021/2022 na kuwanufaisha zaidi ya wanafunzi 160,000.

Album Pictures