Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ZIARA MHE.WAZIRI SIMBACHAWENE

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene hii leo Jijini Dar es salaam amefanya ziara katika ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na kuridhishwa na maboresho yanayoendelea kufanyika katika utoaji wa huduma za usajili wa vizazi, vifo na bodi za Wadhamini kwa mfumo wa kielektoniki kupitia e-Huduma huku akiagiza kuharakishwa kwa mfumo utakaounganishwa na Mahakama ili kurahisisha kumaliza changamoto za kuchelewesha kushughulikia migogoro ya ndoa hususani talaka, mirathi pamoja na bodi za wadhamini kwa kusubiri taarifa za hukumu kutoka mahakamani kwa njia ya karatasi badala ya kielektroniki.

Album Pictures