Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAKABIDHIANO YA OFISI

Description: Kabidhi Wasii Mkuu mpya Bi. Angela Anatory na Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Lina Msanga wameanza kazi rasmi mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson iliyofanyika hii leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) Jijini Dar es salaam. Viongozi wote wawili wameahidi ushirikiano na kuendeleza mafanikio yaliyopatikana na kuwaasa watumishi kutimiza wajibu wao kwa kuzingatia taratibu, kanuni, sheria na maadili ya utumishi wa umma. Aidha wamewataka watumishi kuwa wabunifu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wananchi.

Album Pictures