Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Wadau Tathimini na Ufuatiliaji

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeshiriki kongamano hilo ikiwakilishwa na Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory akiwa ameambatana na wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini. Vile vile Wakala umekabidhiwa tuzo ya kuthamini mchango wake kufanikisha kongamano hilo lililofanya ukumbi wa PSSF Jijini Dodoma.

Album Pictures