Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UZINDUZI USAJILI WATOTO TABORA

Description: Mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto wa umri chini ya miaka mitano wa Mkoa wa Tabora umezinduliwa rasmi hii leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.). Mkoa wa Tabora una wilaya 7 na halmashauri 8 ambazo zitatekeleza Mpango huo kwa kutumia vituo vya Tiba na Ofisi za Watendaji Kata ambavyo jumla yake ni 542 na kutarajia kusajili watoto zaidi ya 549,167 walio na umri chini ya miaka mitano.

Album Pictures