Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Mkutano wa Wafanyakazi 2022

Description: Watumishi wa Umma wanao wajibu wa kuwahudumia wananchi kwa kutanguliza uzalendo, uadilifu na kufanya kazi kwa Kujituma ili kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi. Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Mtendaji Mkuu wa RITA Bi. Angela Anatory wakati akifungua mkutano wa wafanyakazi ulioambatana na mafunzo maalum kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa, Masuala ya jinsia, Magonjwa sugu yasiyoambukizwa pamoja na Upimaji wa VVU.

Album Pictures