Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Kikao cha tathimini Manyara

Description: Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa Usajili wa Watoto wa Umri chini ya Miaka Mitano kimefanyika Mkoani Manyara na kubainisha zaidi ya Watoto 259,317 sawa na asilimia 80.2 wamesajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa Mkoani humo katika kipindi cha mwaka mmoja tangu ulipozinduliwa Mwezi Mei 2021.

Album Pictures