Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA,Bodi ya Mikopo na Posta

Description: RITA, Bodi ya Mikopo, Shirika la Posta watakiwa kufanyia kazi changamoto za Wanafunzi wanaoomba Mikopo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda amezitaka taasisi zote zinazoshirikiana na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu kuongeza ufanisi kwa kutoa huduma kwa weledi na kutatua changamoto wanazozipata waombaji wa Mikopo ya Elimu Juu ili kuwawezesha kupata huduma hiyo kwa wakati. Ameyasema hayo wakati akizindua Mwongozo wa Uomabji Mkopo kwa mwaka wa masomo 2022-2023 na kuongeza kwamba Serikali inategemea kutoa mikopo kwa wanafunzi 205,000.

Album Pictures