Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Ziara Nyasa na Mbinga

Description: ZIARA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MHE. DKT. DAMAS NDUMBARO KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA RITA KATIKA WILAYA YA NYASA NA MBINGA.- Wanafunzi wote nchini wawe na vyeti vya kuzaliwa ifikapo 2025- Serikali imedhamiria kuifanya RITA kuwa ya Kidigitali- Amewataka watoa huduma za RITA kuwa waadilifu kwa kufuata sharia, taratibu na Miongozo ya Kazi- Watendaji ngazi ya Wilaya na Halmashauri watakiwa kuwafuata wananchi walipo ili kuwasajili.

Album Pictures