Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAONESHO YA NANENANE

Description: RITA yashiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya wakulima(Nanenane) yaliyofanyika leo hii kitaifa mkoani Mbeya katika viwanja vya John Mwakangale. -Katika maadhimisho hayo Wakala umetoa huduma ya kusajili na kutoa cheti cha kuzaliwa, msaada wa kisheria kuhusu Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu Ndoa, Talaka, Ufilisi na Udhamini. Kauli mbiu katika sherehe hizo ilikuwa ni "Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya kilimo, mifugo na uvuvi", ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mheshimiwa Rais wa Serikali awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan.

Album Pictures