Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UFUNGUZI WA MAFUNZO BAGAMOYO

Description: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Angellah Kairuki wiki hii alifungua mafunzo yaliyoandaliwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa ajili ya kuwajengea uwezo Maofisa wa Serikali watakaoshiriki Kuandaa Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kuboresha Mfumo wa Usajili na Upatikanaji wa Takwimu zake Nchini.

Album Pictures