Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           WIKI YA SHERIA 2023

Description: RITA yashiriki sherehe za uzinduzi wa Maadhimisho ya wiki ya sheria mwaka yaliyofanyika leo tarehe 22 Januari 2023 kitaifa mkoani Dodoma katika viwanja vya Nyerere Square na kikanda jijini Dar es Salaam katika viwanja vya mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo kitaifa alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ambapo kwa upande wa Kanda ya Dar es Salaam alikuwa ni Mkuu wa wilaya ya Ilala Arch. Ng`wilabuzu Ndatwa Ludigija aliyemuwakilisha Mkuu wa mkoa Mhe. Amos Makalla.

Album Pictures