Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Uzinduzi wa Bodi 2023

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema amepokea maelekezo kutoka kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba ifikapo mwaka 2025 kuhakikisha kila mtoto amesajiliwa na kupatiwa cheti cha kuzaliwa wakati na gharama nafuu huku watu wazima wakitakiwa kuwekewa mikakati ifikapo 2030 kila mwananchi awe na cheti cha kuzaliwa.

Album Pictures