Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           JUKWAA LA WAHARIRI 2023

Description: Wakala wa Usajil Ufilisi na Udhamini (RITA) leo Aprili 01,2023 umetoa mafunzo kwa Wahariri wa vyombo vya habari Kuhusu mfumo mpya wa utoaji huduma kidijitali unaojulikana Kama eRITA. Mafunzo hayo ya siku moja yametolewa kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) katika Mkutano wao wa 12 wa mwaka wa kitaaluma Mkoani Morogoro.

Album Pictures