Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Tuandike Wosia, Waziri Mkuu

Description: Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka wananchi kote nchini kuandika wosia kwani unaweka mazingira mazuri kwa unaowapenda na unasaidia kuepusha migogoro katika jamii na amesisitiza kwamba Wosia sio uchuro. Ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia.

Album Pictures