Description:
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi maalum Dorothy Gwajima Ametembelea Banda la RITA Wakati Akifunga Tamasha la Tanzania Development Festival lililofanyika kuanzia Aprili 27 mpaka April 29 2023 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es salaam.