Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Mama Samia Legal AID Manyara

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini [RITA] Leo Mei 23, 2023 umeshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni Mama Samia Legal Aid Mkoani Manyara. Akizindua Kampeni hiyo, Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Philipo Gekul (mb) akimuakilisha Mgeni Rasmi Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu au vikundi vya watu vinavyojihusisha na ukatili wa kijinsia hususan kwa watoto.

Album Pictures