Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RITA AWAY DAY 2023

Description: Kabidhi Wasii Mkuu/ Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Frank Kanyusi Frank na Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irene Joseph Lesulie leo Juni 18, 2023 amekutana na Wafanyakazi kutoka RITA Makao Makuu, Mikoa na Wilaya Mbalimbali Tanzania Bara kwa lengo la kuweka mikakati itakayowezesha kutekeleza majukumu ya Wakala. Kupitia kikao hicho, watumishi wamekumbushwa kufanya kazi kwa bidii na kusimamia haki kwa kufuata sheria na miongozo katika utumishi wa Umma ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

Album Pictures