Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana (Mb) leo ametembelea ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kukagua utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe hivi karibuni kuiongoza Wizara ya Katiba na Sheria. Katika ziara hiyo aliambatana na Naibu Waziri wa ya Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul (Mb), Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo na viongozi wengine waandamizi wa Wizara hiyo. Amewapongeza RITA kwa mafanikio yaliyopatikana na kuwatakq kuendelea kuwa wabunifu zaidi ili kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma zao hasa katika maeneo ya vijijini

Album Pictures