Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Mama Samia Legal Aid Simiyu

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) leo septemba 18, 2023 umeshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid iliyofanyika Stendi ya zamani, Mkoani Simiyu. Akizindua Kampeni hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana aliwaasa wananchi kutumia kipindi hiki cha kampeni kupata huduma ya msaada wa kisheria (bure), kufahamu na kutetea haki zao za msingi.

Album Pictures